
YANGA SC YAISOMA SIMBA SC KWA VIDEO KAZI IPO
DICKSON Job beki wa Yanga SC amefichua kwamba wachezaji wageni wamepewa video za wapinzani wao Simba SC ili watambue namna ya kukabiliana nao. Miongoni mwa wachezaji wageni ndani ya kikosi cha Yanga SC ni Celestin Ecua ambaye kwenye mchezo wa Yanga Day dhidi ya Bandari alifunga bao akitumia pasi ya mshambuliaji Prince Dube. Ecua anapewa…