
KOMBE LA DUNIA 2026: WAFUNGAJI BORA AFRIKA WATAWAPELEKA WAPI MATAIFA YAO?
Je ni nani mchezaji wako bora kwenye wafungaji bora timu za Taifa hapa Afrika. Wachezaji kibao wanaendelea kuweka rekodi zao huku wengine wakiendelea kuzifukuzia rekodi hizo. Wakati huo huo Meridianbet inakukaribisha kutengeneza jamvi lako la ushindi hapa. Mabingwa watetezi wa Afcon 2023, Ivory Coast ambao kwenye michuano ya kufuzu Kombe la Dunia wapo nafasi ya…