YANGA SC YATAMBIA REKODI YAO, HESABU KUBWA ZINAPIGWA
UONGOZI wa Yanga SC umeweka wazi kuwa umeweka rekodi nzuri katika mashindano ya FA kwa kucheza misimu minne bila kupoteza ikiwa ni heshima na rekodi bora Afrika. Septemba 7 2025, Yanga SC imefanya mkutano mkuu katika ukumbi wa Super Dome Masaki ambao umehudhuriwa na matawi ambayo yamekidhi vigezo na viongozi mbalimbali walikuwepo akiwemo Bi Fatma…