
SIMBA SC YAZINDUA JEZI, MSEMAJI WA SERIKALI AWAOMBA KUNUNUA ORIGINAL
SIMBA SC imezindua rasmi uzi wake mpya kuelekea msimu wa 2025/26 Agosti 31 2025 katika ukumbi wa Super Dome, Masaki na mgeni rasmi alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Gerson Msigwa. Msigwa amesema kuwa ni muhimu kwa mashabiki wa Simba SC kuhakikisha kuwa wanapata bidhaa original na sio feki kutokana na gharama kubwa…