TAIFA STARS KAMILI KUWAKABILI MAURITANIA KWA MKAPA AGOSTI 6 2025
KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Hemedi Selemani, amesema kuwa ana imani kubwa na kikosi kuelekea mchezo unaofuata wa Agosti 6, 2025 dhidi ya Mauritania unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Kocha huyo amesisitiza kuwa lengo kuu ni kupata ushindi bila kujali idadi ya mabao kwenye mchezo wa leo unaotarjiwa kuwa na…