Skip to content
Sunday, July 26, 2026
  • Haaland, Guardiola na Maldini Washuhudia Harusi ya Donnarumma Italia
  • Hersi Afichua Siri ya Jezi Mpya za Yanga, Asema Ubunifu Umetoka Paris
  • Bayern Munich Kuanza Maandalizi ya Msimu Mpya Dhidi ya Wehen Wiesbaden Katika Sherehe za Miaka 100 ya Klabu
  • Usajili wa Kishindo! Yanga Yaleta Moto Kutoka Saudi Arabia na Zambia

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Haaland, Guardiola na Maldini Washuhudia Harusi ya Donnarumma Italia
  • Hersi Afichua Siri ya Jezi Mpya za Yanga, Asema Ubunifu Umetoka Paris
  • Bayern Munich Kuanza Maandalizi ya Msimu Mpya Dhidi ya Wehen Wiesbaden Katika Sherehe za Miaka 100 ya Klabu
  • Usajili wa Kishindo! Yanga Yaleta Moto Kutoka Saudi Arabia na Zambia

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2025
  • August
  • 4

August 4, 2025

  • International
  • Sports

LIVERPOOL, ARSENAL AU CITY? VITA YA KILELENI YACHUKUA KASI MAPEMA

Saleh12 months ago03 mins

Je safari hii nani anaweza kuongoza ligi, ambapo wakali wa ubashiri wameweka ODDS kubwa sana. Nani atapokea kijiti cha Liverpool ambao msimu uliopita ndio waliongoza ligi wakiwa na pointi zao 39? Liverpool kuongoza ligi amepewa ODDS 3.00. Ikumbukwe kuwa Jogoo wa Anfield hadi sasa amefanya usajili wa wachezaji wakubwa kabisa akiwemo Frimpong, Wirtz, Ekitike na…

Read More
  • Sports

SIMBA SC WAANZA NI MWENDO WA MATIZI, KIBU, CAMARA NDANI

Saleh12 months ago02 mins

SIMBA SC chini ya Kocha Mkuu Fadlu Davids wanaendelea na matizi ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya wa 2025/26. Katika kambi iliyopo Misri wachezaji wapya na wale waliokuwa katika kikosi cha Simba SC iliyogotea nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi wapo kambini. Miongoni mwa wachezaji waliopo ndani ya kikosi cha Simba SC ni Kibu…

Read More
  • Sports

YANGA SC HAWAPOI, KIUNGO WA KAZI MOHAMED DOUMBIA NDANI

Saleh12 months ago02 mins

YANGA SC mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2025/26 hawapoi kutokana na kasi yao kwenye utambulisho wa wachezaji wapya. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2024/25 Yanga SC ilitwaa taji la Ligi Kuu Bara inayodhaminiwa na NBC likiwa ni taji lao la 31. Baada ya mechi 30 walikusanya jumla ya pointi 82 na safu…

Read More
  • Sports

MERIDIANBET YAMLETA TVBET NDANI YA KASINO MTANDAONI

Saleh12 months ago12 months ago02 mins

Meridianbet imeweka alama mpya katika ulimwengu wa kasino mtandaoni. Kupitia ujio wa TVBET, mtoa huduma mpya wa michezo ya moja kwa moja, sasa wachezaji wanapata fursa ya kufurahia uzoefu tofauti, wa kipekee na uliojaa msisimko kila sekunde. TVBET ni jukwaa la burudani linalorushwa mubashara masaa 24 kwa siku, likikupa nafasi ya kuwa sehemu ya matukio…

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.