
YANGA SC YAMALIZANA NA MASHINE YA MABAO
YANGA SC hawana jambo dogo mara baada ya kumalizana na mashine ya mabao ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhamiwaniwa na NBC. Msimu wa 2024/25 nyota huyo alikuwa kwenye ubora akiwa ni chaguo la kwanza ndani ya kikosi cha Tabora United. Ni Kiungo mshambuliaji aliyekuwa Tabora United, Offen Chikola alitambulishwa Yanga SC Julai 22 2025…