MATOKEO YA KIDATO CHA SITA NA UALIMU MEI 2025, YAPO HAPA
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza rasmi matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) pamoja na Mitihani ya Ualimu iliyofanyika mwezi Mei 2025. Matokeo hayo yanapatikana kupitia tovuti rasmi ya NECTA (www.necta.go.tz), ambapo wanafunzi na walimu waliohusika wanaweza kuyatazama kwa kutumia namba za mtihani au majina ya shule na vituo husika. Kwa mujibu…