FLUMINENSE VS AL HILAL KUKUPATIA FAIDA MARA 2 LEO

Michuano ya kombe la Dunia kwa vilabu inazidi kuendelea ambapo sasa ni hatua ya Robo Fainali na Meridianbet kila siku wao wanatafuta namna pekee ya wewe kuweza kuondoka na mpunga wa maana kabisa na mechi hizi. Bashiri kwa GG&3+ mechi ya Fluminense vs Al Hilal ushinde pesa mara 2 zaidi.

Hii ni Robo Fainali kali sana ambayo inaenda kushuhudia miamba mwili kutoka mabara tofauti ikipepetana vibaya sana. Yaani Fluminense kutoka America ya Kusini na Al Hilal kutoka bara la Asia. GG&3+ ndio mchongo mzima kabisa bashiri mechi hii sasa na zingine ujieweke kwenye nafasi ya kushinda bonasi kubwa zaidi.

Ndani ya promosheni hii ya kubashiri kwa GG&3+ ni fursa pekee ya wewe kutimiza ndoto zako endapo utasuka jamvi mechi hii sasa. Nani kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Dunia la Vilabu leo?. 3.00 kwa 2.50 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri hapa.

Michezo ya Kasino ya Mtandaoni inakupatia mkwanja leo, Cheza Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

SHERIA ZA PROMOSHENI HII

  •                                 Promosheni hii ni halali kwa watumiaji wa Meridianbet pekee
  •                                 Promosheni hii itakuwa hai leo hii tarehe 04 mwezi Julai 2025 hadi saa 4:00 usiku ambapo mechi itaanza
  •                                 Pia promosheni hii itakuwa halali kwa watumiaji wote ambao angalau wameweka TZS 500 kwenye akaunti yao ya Meridianbet siku hiyo na wameweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mchezo wa Fluminense vs Al Hilal kwa chaguo la GG&3+ ambapo watapata bonasi kama ifuatavyo,

BONASI YA 1

Mchezaji yoyote aliyeweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mechi za Fluminense vs Al Hilal  kwa chaguo la GG&3+ atapata bonasi sawa na dau lake (kiwango cha juu 60000 TZS).

Bonasi hiyo itakuwa na masharti kama ifuatavyo, kwenye mechi ya Fluminense vs Al Hilal  lazima uwe na timu zote zifunge magoli 4+. Hii ndio bonasi ya kwanza ambayo mchezaji ataipata akibashiri mechi hii ya Kombe la Dunia ngazi za vilabu kwa kufuata masharti.

BONASI YA 2

Kama mchezo wa Fluminense vs Al Hilal  ukimalizika 0-0

  •                             Mchezaji atapata marejesho ya bonasi ya 50% ya dau lake hadi (20000) ambapo sharti la bonasi hii ni kuwa timu hizo lazima ziwe zimetoka 0-0.
  •                             Tiketi za TurboCash ni batili kwenye promosheni hii na ofa hii ni halali kwa mtumiaji mmoja. Hivyo fuata masharti yanayotakiwa ili kujiweka kwenye nafasi ya ushindi wa bonasi kwenye mchezo huu mkali wa kusisimua. Bashiri sasa.