WALLACE KARIA ASALIA PEKEE KINYANG’ANYIRO CHA URAIS TFF BAADA YA WAGOMBEA WATANO KUNG’OLEWA

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, sasa amesalia kuwa mgombea pekee wa nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu wa shirikisho hilo unaotarajiwa kufanyika Agosti 16, 2025. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, wagombea wengine waliokuwa wamejitokeza kuwania nafasi hiyo wameshindwa kutimiza sifa kwa mujibu wa…

Read More

MIGUEL GAMONDI ATANGAZWA KOCHA MPYA WA SINGIDA BLACK STARS

Klabu ya Singida Black Stars imethibitisha rasmi kumteua Miguel Ángel Gamondi kuwa Kocha Mkuu mpya wa timu hiyo kwa mkataba wa mwaka mmoja, kuelekea msimu wa mashindano wa 2025/2026. Kupitia taarifa rasmi iliyotolewa na klabu hiyo, imeelezwa kuwa uamuzi huo ni sehemu ya mpango wa kuimarisha kikosi na kuongeza ushindani katika ligi kuu na michuano…

Read More

LAMEK LAWI AJIFUNGA MIAKA MIWILI KWA AZAM FC

MATAJIRI wa Dar, Azam FC hawataki utani kwa kuwa tayari wameanza kushusha mashine za kazi kuelekea msimu mpya wa 2025/26 kwa kumtambulisha beki wa kazi ambaye ni mzawa. Julai 3 2025 mabosi wa Azam FC wamemtambulisha rasmi Lamek Lawi kwa kandarasi ya miaka miwili beki huyo ambaye alikuwa chaguo la kwanza ndani ya Coastal Union…

Read More

CR 7 ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA JOTA

MSHAMBULIAJI bora wa muda wote kwa sasa raia wa Ureno Cristiano Ronaldo ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha Diogo Jota na kaka yake Andre Silva. Ulimwengu wa mpira kwa sasa unaomboleza kufuatia kutangulia mbele za haki kwa kijana huyo mwenye miaka 28. Kijana huyo alikuwa kwenye safari kuelekea kambini kwa ajili ya maandalizi ya…

Read More