PAPE MATAR SARR AIZAMISHA ARSENAL KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI
Hong Kong – Klabu ya Arsenal imejikuta ikianza maandalizi ya msimu mpya kwa kupokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa wapinzani wao wa jadi, Tottenham Hotspur, katika mchezo wa kirafiki uliopigwa usiku wa kuamkia leo jijini Hong Kong. Pape Matar Sarr, kiungo mahiri kutoka Senegal, ndiye aliyeibeba Spurs baada ya kufunga bao pekee la mchezo…