Kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania Meridianbet leo hii imetembelea sehemu maarufu na mashuhuri jijini Dar es salaam Magomeni na Manzese na kutoa msaada wa mahitaji muhimu kwa wakali wa eneo hilo.
Meridianbet inasema kuwa inajua jinsi gani ambavyo wakazi wa eneo hilo wana uhitaji hivyo msaada huo uliotolewa ulikuwa ni wa bidhaa za vyakula kama vile mafuta ya kupikia, mchele, sukari, unga wa ngano, unga wa sembe, na sabuni za matumizi ya nyumbani.
Huku msaada wa mahitaji hayo muhimu yakitolewa kwenye familia ambazo zina uhitaji kwani si kila familia ina uhitaji kutokana na hali za maisha yetu. Kusaidia wenye uhitaji ni moja ya kaulimbiu ambayo wakali wa ODDS KUBWA Meridianbet wanayo, hivyo hili zoezi sio geni kwao ambao wana uhitaji wengi wamenufaika nao na wataendelea kutoa msaada.
Meridianbet pia inakuambia kuwa kuna michezo kibao ya kukupatia mkwanja leo kama vile Poker, Keno, Roulette, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Akizungumza wakati wa zoezi hilo, Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Meridianbet, Nancy Ingram alisema, “Meridianbet tunaamini katika kurudisha kwa jamii. Tunatambua kuna watu wengi wanaopitia magumu na jukumu letu kama kampuni si tu kufanya biashara bali pia kuwa sehemu ya suluhisho. Tumekuwa tukifanya shughuli kama hizi mara kwa mara ili kusaidia jamii zinazotuzunguka.”
Baada ya kupokea msaada huo wakazi hao wa Magomeni na Manzese waliishuku sana Meridianbet kwa kufika na kuwapelekea msaada huo wa vyakula kwani hiyo inamaanisha kuwa ni jinsi gani wameona umuhimu wao na uhitaji ambao wanao na kuwaomba kuwa warejee siku nyingine kwani bado watu wengi wanataka msaaa wao.
Ukija huku kwenye CSR ndio usiseme kila mwezi huhakikisha kufanya zoezi hili la krejesha kwenye jamii zaidi ya mara mbili ili kutoa shukrani na kutambua kuwa umuhimu wa jamii kwao, kwani bila wao ni ngumu sana kufanya biashara.
Zoezi hili ni sehemu ya mpango endelevu wa CSR wa Meridianbet unaolenga kuboresha ustawi wa jamii kwa kugusa makundi mbalimbali yenye uhitaji kama shule, vituo vya afya, na familia zenye changamoto za kiuchumi.
Meridianbet inaahidi kuendelea kushirikiana na wadau wengine ili kufanikisha miradi inayolenga kubadilisha maisha ya Watanzania wengi zaidi na kuhakikisha jamii inapata matumaini mapya ya kesho iliyo bora.