YANGA SC YAPOKELEWA KWA KISHINDO, YAWEKA NGOME MSIMBAZI

MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara mara 31, Yanga SC Juni 30 2025 wamepokelewa kwa kishindo wakitokea Zanzibar kwa kufanya pared la kihistoria chini ya uangalizi mkali wa Jeshi la Polisi Tanzania ambao walikuwa wakihakikisha usalama unakuwa wakutosha. Yanga SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi, Juni 29 2025 ilipata ushindi wa mabao 2-0 dhidi…

Read More

SIMBA SC KWENYE HESABU NYINGINE KUBWA

FADLU Davids, Kocha Mkuu wa Simba SC amesema kuwa kwa msimu wa 2024/25 wamejitahidi kupambana na kufikia malengo licha ya kushindwa kutwaa ubingwa watafanya maboresho kwa msimu ujao. Kuna asilimia chache kwa Fadlu kubaki ndani ya kikosi cha Simba SC msimu wa 2025/26. Taarifa zinaeleza kuwa uongozi wa Simba SC unafanya mazungumzo na kocha huyo…

Read More

YANGA SC BINGWA CRDB FEDERATION CUP 2024/25

MILOUD Hamdi, Kocha Mkuu wa Yanga SC amesema kuwa furaha kubwa ni kuona timu hiyo inaendelea kupata matokeo mazuri na kutwaa mataji ambayo walikuwa wanayatafuta. Kwenye fainali ya CRDB Federation Cup, Juni 29 2025 Yanga SC ilishinda mabao 2-0 dhidi yaSingida Black Stars fainali iliyopigwa Uwanja wa New Amaan Complex. Mabao ya Duke Abuya dakika…

Read More