CHEZA SWEET BONANZA NA USHINDE MAMILIONI NA PRAGMATIC PLAY!

Meridianbet imefungua milango ya ushindi leo hii kwenye promosheni ya kibabe kabisa ya ERA OF 1000s ambayo imesheheni michezo kibao kabisa ya wewe kujishindia mpunga mzito. Sweet Bonanza ikiwa ni mojawapo ya michezo hiyo.

Katika zama hizi za utandawazi vijana wengi wanahitaji kutambulishwa jinsi ambavyo Dunia inaenda na inavyotaka, huku wakipewa fursa za kipekee kabisa za kuendesha maisha yao ikiwa ni pamoja na kucheza michezo mizuri ya kasino.

Jukwaa la Era of 1000s linainuka kama mwanga wa matumaini kwa vijana wa Afrika Mashariki. Hili ni jukwaa linalolenga kuibua, kukuza na kuwezesha fikra pevu kutoka kwa kizazi kipya chenye kiu ya mabadiliko ya kweli.

Mashindano haya ya ERA OF 1000s yameanza jana na yataisha tarehe 29 mwezi Juni ambapo yatakuwa ni ya siku 4 pekee ambayo yatakuwa na jumla ya shilingi Bilioni tatu ambayo itagawanywa kwenye michezo maarufu ya safu 1000. Mchezaji atatakiwa kuzungusha mizunguko kwenye michezo maalumu ambayo atakuwa anacheza na ambayo ipo kwenye promosheni hii.

Vilevile Meridianbet inakuambia kuwa kuna michezo kibao ya kukupatia mkwanja leo kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Michezo inayoshiriki ni kama vile, Wisdom of Athena 1000, Sweet Bonanza 1000, Sugar Rush 1000, Gates of Olympus 1000, Starlights Princess 1000, Lucky Tiger 1000, pamoja na Big Bass Bonanza 1000. Hivyo cheza michezo hii sasa na uweze kuibuka mshindi wa mpunga mrefu huo sasa.

Meridianbet inakwambia hivi ndani ya promosheni hii unaweza kushinda hadi mara 10000 ya dau lako ambalo utakuwa umeweka, huku zawadi 30,000 zikiwa zinasubiriwa kwa hamu kabisa.

NB: Kiasi chochote kile cha dau kinaruhusiwa kuwekwa kwenye mashindano haya, hivyo ni wewe tuu uamue utaweak dau la shilingi ngapi.

JINSI YA KUSHIRIKI

1: Weka dau: Cheza angalau mzunguko mmoja wa pesa halisi kwa dau lolote katika mchezo wowote unaoshiriki.

2: Jinsi ya kushinda: Zawadi hutolewa kwa nasibu kupitia mzunguko wowote unaochezwa kwa dau linalostahiki. Kila dau linaweza kushinda zawadi moja tu kwa wakati mmoja.

3: Unachoweza kushinda: Unaweza kushinda hadi mara 10000 ya dau lako, Dau la juu zaidi kwaajili ya malipo.

MASHARTI YA JUMLA YA PROMOSHENI

1: Promosheni hii ya Enzi ya 1000 kwa siku 4 pekee kutoka jana tarehe 26 Juni mpaka 29 Juni huku waendeshaji wa Promo hii Pragmatic Play itatoa zawadi mbalimbali.

2: Ili kustahiki zawadi, lazima ucheze kwa pesa halisi kwenye mchezo unaoshiriki kwa dau lolote .

3: Unaweza kushinda zawadi mara 2 katika kipindi chote cha Enzi ya 1000 Prize Drop

4: Zawadi zitatolewa kwa nasibu kupitia dau linalostahiki, na kila mzunguko unaweza kushinda zawadi moja tuu kwa wakati mmoja.

5: Zawadi hulipwa kama pesa taslimu, bila masharti yoyote ya mzunguko au mahitaji ya kujirudia kabla ya kutoa.

6: Endapo utanunua kipengele cha bonasi ndani ya mchezo, zawadi yako italipwa kabla hujaingia kwenye bonasi hiyo kwa thamani ya maxbet.

Masharti yapo mengi ila haya ndio ya kuzingatia zaidi ili usije ukafungiwa au ukajitoa  kwenye promosheni hii. Ingia Meridianbet uanze safari yako mapema kabisa ya kuwa mshindi Juni hii.