SIMBA SC YASAKA KIPA KUMPA CHANGAMOTO CAMARA

SIMBA SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids raia wa Afrika Kusini ipo katika harakati za kumsajili kipa wa JKT Tanzania, Yakoub Seleman katika msimu ujao. Kipa namba moja kwa sasa ndani ya Simba SC ni Moussa Camara. Ni hati safi 19 amekusanya msimu wa 2024/25 akiwa kipa namba moja mwenye hati nyingi ndani ya…

Read More

MWENYE ZALI NA YANGA SC NI MABAO MANNE KAFUNGA

SIMBA SC haijawa na bahati mbele ya Yanga SC kwenye mechi za Kariakoo Dabi. Msimu wa 2024/25 haujawa bora kwao wakifungwa nje ndani ya mtani katika mechi za ligi. Rekodi zinaonyesha kuwa katika mechi ambazo wamekutana mkali wakucheka na nyavu ni Aziz Ki kwenye misimu mitano ya hivi karibuni kuanzia 2020/21. Ki kafunga jumla ya…

Read More