
DAKIKA 180, SIMBA SC YAPIGWA NJE NDANI NA YANGA SC
CHINI ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids, Simba SC imekwama kuvuna pointi mbele ya Yanga SC ambao ni watani zao wa jadi. Matukio mawili yamekamilisha msimu wa 2024/25, ubingwa kwa Yanga SC wakiwa na pointi 82, Simba SC nafasi ya pili na pointi 78. Katika dakika 180, mbele ya Yanga SC, Moussa Camara kipa namba moja…