Skip to content
Friday, June 5, 2026
  • Nani Atabeba Kombe la Dunia? Mataifa Makubwa Yajipanga
  • Azam FC Yamwongeza Mkataba Kocha Florent Ibenge
  • Cape Verde na Curaçao Waingia Kwenye Historia ya Kombe la Dunia la FIFA 2026
  • Mechi za Tanzania Dhidi ya Uganda na Rwanda Zafutwa Morocco

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Nani Atabeba Kombe la Dunia? Mataifa Makubwa Yajipanga
  • Azam FC Yamwongeza Mkataba Kocha Florent Ibenge
  • Cape Verde na Curaçao Waingia Kwenye Historia ya Kombe la Dunia la FIFA 2026
  • Mechi za Tanzania Dhidi ya Uganda na Rwanda Zafutwa Morocco

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2025
  • June
  • 21

June 21, 2025

  • Sports

YANGA SC IMEKIMBIZA DAKIKA 2,520 LIGI KUU BARA

Saleh12 months ago12 months ago02 mins

BAADA ya kucheza mechi 28 ambazo ni dakika 2,520 safu ya ushambuliaji ya Yanga SC imefunga mabao 76 na kukusanya pointi 76 ikiwa namba moja kwenye msimamo na timu iliyofunga mabao mengi. Kwenye mchezo wake wa raundi ya 29 dhidi ya Tanzania Prisons, Yanga SC ilikomba pointi tatu mazima kwa ushindi wa jumla ya mabao…

Read More
  • Sports

VITA YA UFUNGAJI BORA PASUA KICHWA

Saleh12 months ago12 months ago02 mins

Kwenye eneo la tuzo ya kiatu cha ufungaji bora vita bado ni mbichi kutokana na mechi ambazo zimebaki matokeo yake kutotabirika. Jean Ahoua wa Simba SC ni kinara kwa sasa akiwa na mabao 16 anafuatiwa na Clement Mzize na Prince Dube wa Yanga SC wakiwa wametupia mabao 13. Leonel Ateba wa Simba SC naye katupia…

Read More
  • Sports

PANDA KILELENI, CHUKUA ZAWADI! CHEZA 3 OAKS NA USHINDE!

Saleh12 months ago12 months ago02 mins

  Meridianbet leo hii imekuja na promo kabambe kabisa ya 3 OAKS ambayo imetua jana hivyo mteja wa Meridianbet una siku 13 tuu za kuwania pesa taslimu mpaka milioni moja. Nafasi ni yako leo furahia ushindi mnono hapa. Jana tarehe 20 ndio mashindano haya ya 3 OAKS na yatamalizika 3 Julai mwaka 2025 ambapo wateja…

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.