Meridianbet inazidi kuwapa wateja wake nafasi za kipekee kushinda zaidi kupitia chaguo lae la GG&3+ na utapata mara mbili zaidi.
Katika mechi kali ya Inter Miami vs FC Porto, bashiri ya GG & 3+ ndiyo tiketi yako ya ushindi maradufu. Bashiri kuwa timu zote zitafunga (GG) na kutakuwa na zaidi ya magoli matatu (3+) na ujinyakulie ushindi wa kuvutia mara mbili ya dau lako!
Meridianbet wamemua wasikuache hivi hivi wamekuja na promosheni kali sana ambayo unaweza ukashinda mara mbili zaidi ya kile ambacho ulikuwa unakitarajia ukibashiri mechi ya Inter Miami ambao ni wenyeji wa mashindano haya dhidi ya FC Porto.
Pia Meridianbet inakuambia kuwa kuna michezo kibao ya kukupatia mkwanja leo kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
SHERIA ZA PROMOSHENI HII
- Promosheni hii ni halali kwa watumiaji wa Meridianbet pekee
- Promosheni hii itakuwa hai leo hii tarehe 19 mwezi Juni 2025 hadi saa 4:00 usiku ambapo mechi itaanza
- Pia promosheni hii itakuwa halali kwa watumiaji wote ambao angalau wameweka TZS 500 kwenye akaunti yao ya Meridianbet siku hiyo na wameweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mchezo wa Inter Miami vs FC Porto kwa chaguo la GG&3+ ambapo watapata bonasi kama ifuatavyo,
Mchezaji yoyote aliyeweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mechi ya Inter Miami vs FC Porto (kiasi cha chini 10000 TZS), atapata bonasi sawa na dau lake (kiwango cha juu 60000 TZS).
Sharti la bonasi hiyo ni kuwa lazima mechi ya Inter Miami vs FC Porto imalizike kwa timu zote mbili kufunga na jumla ya magoli kuwa angalau 4.
BONASI YA 2
Kama mchezo wa Inter Miami vs FC Porto ukimalizika 0-0
- Mchezaji atapata marejesho ya bonasi ya 50% ya dau lake hadi (20000)
- Sharti la bonsai hii; Mchezo wa Inter Miami vs FC Porto lazima umalizike kwa suluhu yaani 0-0
- Tiketi za TurboCash ni batili kwenye promosheni hii na ofa hii ni halali kwa mtumiaji mmoja. Hivyo fuata masharti yanayotakiwa ili kujiweka kwenye nafasi ya ushindi wa bonasi kwenye mchezo huu mkali wa kusisimua. Jisajili na ubashiri sasa.