TFF YATOA MAELEKEZO KWA WAGOMBEA WA UCHAGUZI MKUU 2025

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewataka waombaji wote wa nafasi ya uongozi kwenye Uchaguzi Mkuu wa TFF utakaofanyika Agosti 16 mwaka huu Jijini Tanga kuhakikisha wanakuwa na Kanuni za Uchaguzi. Taarifa ya leo Juni 17, 2025 iliyotolewa na TFF imeeleza kuwa wagombea hao wanapochukua fomu za kuwania uongozi katika uchaguzi huo wanatakiwa kuhakikisha…

Read More

SINGIDA BLACK STARS YAIPIGA MKWARA YANGA SC

UONGOZI wa Singida Black Stars umeweka wazi kuwa upo tayari kwa ajili ya kutwaa ubingwa mbele ya Yanga SC kwenye mchezo wa fainali CRDB Cup unaotarajiwa kuchezwa Juni 28, 2025 Uwanja wa New Amaan Complex ikiwa ni funga kazi msimu wa 2024/25. Husssen Masanza, Ofisa Habari wa Singida Black Stars ameweka wazi kuwa wanatambua kuna…

Read More

MERIDIANBET YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA UCHANGIAJI DAMU KWA KUENDELEZA MILA YA KIMATAIFA YA UWAJIBIKAJI WA KIJAMII (CSR)

Ikiwa ni mshirika wa Golden Matrix Group (NASDAQ: GMGI), Meridianbet kwa mara nyingine tena imeadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wachangia Damu kwa kuendesha kampeni ya kimataifa ya wafanyakazi kuchangia damu, kampeni ambayo sasa imekuwa sehemu ya utamaduni wa kampuni unaolenga kuleta mabadiliko ya kweli katika jamii. Ushiriki wa Wafanyakazi Uliojaa Maana: Kutoka Tendo Moja hadi…

Read More

KIPA CAMARA KUKUTANA NA THANK YOU SIMBA SC

MOUSA Camara kipa namba moja wa Simba SC anatajwa kuwa kwenye hesabu za kukutana na Thank You ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu,Fadlu Davids. Camara ni chaguo la kwanza ndani ya Simba SC ambayo ipo kwenye maandalizi kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KenGold unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi,…

Read More

MSHAMBULIAJI WA MABAO MLANGONI YANGA SC

JONATHAN Sowah mshambuliaji wa Singida Black Stars anatajwa kuwa kwenye mpango wa kutakiwa na Yanga SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi. Sowah alimpa tabu kipa namba moja wa Yanga SC, Djigui Diarra kwenye mchezo wa ligi walipokutana Uwanja wa KMC Complex kwa kumtungua bao moja. Kwenye mchezo huo baada ya dakika 90 ubao ulisoma…

Read More