JEMBE SPORTS YOU TUBE YAPEWA TUZO MAALUMU

SHUKRANI kubwa kwa watazamaji na wafuatiliaji wa mtandao wa Jembe Sports kwa kuwa ni watu muhimu kila wakati jambo lililopelekea tuzo maalumu kutoka kwa You Tube. Kwenye ukurasa wa You Tube wa Jembe Sports ni watazamaji zaidi ya laki moja wapo na watu ambao wamebofya kile kitufe cha kuifuata You Tube ya Jembe Sports ni…

Read More

DAU DOGO SHINDA MAMIA YA EURO NA SPIN-O-MANIA

Meridianbet inakukaribisha kujichukulia Mamia ya Euro kwenye promosheni kali ya Spin-O-Mania ambayo inaendelea hivi sasa. Huhitaji dau kubwa kushiriki kwenye shindano hili la dhahabu ambalo litakupa ushindi mkubwa leo. Mashindano haya ya Spin-O-Mania yalianza toka tarehe 05 mwezi Juni na mwisho itakuwa ni tarehe 29 Juni ambapo zawadi na pesa zitakbidhiwa kwenye akaunti za wachezaji…

Read More

MUKWALA HESABU ZAKE NDEFU SIMBA SC

MSHAMBULIAJI wa Simba SC Steven Mukwala hesabu zake ni ndefu kwenye kikosi hicho ambacho kinanolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids katika mechi za ushindani. Mukwala ameweka wazi kuwa mpango mkubwa ni kuona timu hiyo inapata matokeo chanya kwenye mechi ambazo wanacheza ndani ya uwanja msimu wa 2024/25. Mshambuliaji huyo anaingia kwenye orodha ya wakali wakucheka…

Read More