CHE MALONE KAZI IPO SIMBA SC

BEKI wakupanda na kushuka ndani ya kikosi cha Simba SC, Che Malone kazi ipo kuelekea msimu wa 2025/26 ambapo anatajwa kuwa kwenye hesabu za kukutana na Thank You. Beki huyo ni chaguo la kwanza ndani ya kikosi cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids hajawa kwenye mwendelezo mzuri kwenye mechi za ushindani za…

Read More

ELVIS RUPIA KWENYE RADA ZA YANGA SC

Mkali kwenye kucheka na nyavu ambaye yupo Singida Black Stars, Elvis Rupia anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa Jangwani Yanga SC ambao wanahitaji saini yake kwa ajili ya msimu mpya wa 2025/26. Rupia ndani ya ligi katupia mabao 10 akiwa namba mbili kwenye eneo hilo ndani ya Singida Black Stars na kinara ni Jonathan…

Read More

AZAM FC WAIVUTIA KASI TABORA UNITED

MATAJIRI wa Dar, Azam FC hesabu kubwa kwa sasa ni kuelekea mchezo wao wa mwisho msimu wa 2024/25 wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani. Azam FC uwanja wao wa nyumbani ni Azam Complex wanafunga ukurasa wa mwisho kwa mchezo dhidi ya TaboraUnited katika msako wa pointi tatu muhimu ndani ya dakika 90. Kwenye msimamo Tabora…

Read More