
YANGA YATHIBITISHA KUTOSHIRIKI MCHEZO DHIDI YA SIMBA HADI MATAKWA YATIMIZWE
Klabu ya Yanga Sc imethibitisha kuwa mnamo Juni 7, 2025 ilipokea barua kutoka Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kwa ajili ya kuhudhuria kikao maalum cha kujadili masuala yahusuyo mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC, YANGA dhidi ya Simba na kubainisha kuwa uongozi wa klabu hiyo umetii wito huo. Taarifa ya leo Juni 9,…