KAIZER CHIEFS YAFIKA SH MIL 500KWA KIBU, SIMBA YACHOMOA

SIMBA imekataa ofa ya Sh 500Mil kutoka Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini ya kumuuza kiungo wake mshambuliaji , Kibu Denis katika msimu ujao.

Inaelezwa sababu ya kugomea kumuachia kiungo huyo, udogo wa dau hilo ambalo alijawashawishi Bodi ya Wakurugenzi ya timu hiyo.

Hivyo lazima dili hilo la Kibu kuuzwa Chiefs limekufa rasmi, kiungo huyo ataendelea kubakia hapo katika msimu ujao kukipambania kikosi hicho.