Skip to content
Sunday, May 31, 2026
  • PSG Yatwaa UEFA Champions League Baada ya Kuichapa Arsenal kwa Penalti
  • Je ni Arteta au Enrique Kuondoka na Taji la Ligi ya Mabingwa Leo?
  • Uchovu Watishia Ndoto za Arsenal Kwenye Fainali Dhidi ya PSG Leo, Vikosi Vipo Hapa
  • Arsenal vs PSG: Fainali ya Champions League 2026 kupigwa leo Budapest

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • PSG Yatwaa UEFA Champions League Baada ya Kuichapa Arsenal kwa Penalti
  • Je ni Arteta au Enrique Kuondoka na Taji la Ligi ya Mabingwa Leo?
  • Uchovu Watishia Ndoto za Arsenal Kwenye Fainali Dhidi ya PSG Leo, Vikosi Vipo Hapa
  • Arsenal vs PSG: Fainali ya Champions League 2026 kupigwa leo Budapest

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2025
  • June
  • 5

June 5, 2025

  • Sports

KAIZER CHIEFS YAFIKA SH MIL 500KWA KIBU, SIMBA YACHOMOA

Saleh12 months ago12 months ago01 mins

SIMBA imekataa ofa ya Sh 500Mil kutoka Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini ya kumuuza kiungo wake mshambuliaji , Kibu Denis katika msimu ujao. Inaelezwa sababu ya kugomea kumuachia kiungo huyo, udogo wa dau hilo ambalo alijawashawishi Bodi ya Wakurugenzi ya timu hiyo. Hivyo lazima dili hilo la Kibu kuuzwa Chiefs limekufa rasmi, kiungo huyo ataendelea…

Read More
  • Sports

MILIKI SAMSUNG A25 MPYA UKIBASHIRI NA USSD

Saleh12 months ago12 months ago02 mins

Meridianbet inafurahia kutangaza kampeni mpya inayowezesha wateja wake kupata Samsung A25 mpya kabisa kwa urahisi kupitia huduma ya USSD. Wateja sasa wanaweza kushiriki na kudai zawadi zao kwa kupiga *149*10# bila shida yoyote, kwa haraka na kwa usalama wa hali ya juu. Hii ni fursa ya kipekee kwa wapenzi wa teknolojia kupata simu bora mkononi,…

Read More
  • Sports

BEKI ALIYEACHWA YANGA APATA BONGE LA DILI, ATIMKA ZAKE

Saleh12 months ago01 mins

ALIYEKUWA beki wa kati wa Yanga, Gift Fred anakaribia kujiunga na Klabu ya KCCA ya nchini Uganda katika msimu ujao. Gift anakwenda kujiunga na KCCA kama mchezaji huru baada ya mkataba wake wa mkopo St George ya nchini Ethiopia kumalizika. Yanga ndiyo iliyompeleka beki huyo kwa mkopo St George katika msimu wa 2024-2024 baada ya…

Read More
  • Sports

SALEH JEMBE AWABEBESHA ZIGO LA LAWAMA YANGA ISHU YA DERBY – ”WAO NDIYO WAMESABABISHA” – VIDEO

Saleh12 months ago01 mins

Mchambuzi wa soka nchini, Saleh Jembe amefunguka na kueleza kuwa waliosababisha hili jambo ni klabu ya Yanga SC isingekuwa wao kuwazuia Simba SC basi tusingefika huku.  

Read More
  • Sports

WAZEE WA YANGA WATOA TAMKO, WAPINGA MCHEZO WA DERBY JUNI 15 – VIDEO

Saleh12 months ago02 mins

Dar es Salaam – Wazee na Wenyeviti wa Matawi wa Klabu ya Yanga leo Juni 5, 2025 wamejitokeza hadharani makao makuu ya Klabu hiyo na kutoa tamko rasmi wakipinga vikali ushiriki wa klabu hiyo katika mchezo wa watani wa jadi (derby) uliopangwa kufanyika tarehe 15 Juni, 2025 Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam. Kupitia…

Read More
  • Sports

ZOMBIE APOCALYPSE KUTOKA MERIDIANBET IMEKUJA NA OFA KABAMBE

Saleh12 months ago12 months ago02 mins

Katika kuendelea kutoa furaha na faida kwa wachezaji wa kasino mtandaoni, Meridianbet kwa kushirikiana na Expanse wamezindua ofa kabambe kupitia mchezo wa Zombie Apocalypse. Ofa hii maalum inakupa nafasi ya kipekee, ukicheza mizunguko 100 leo, unapata mizunguko 50 ya bure kesho. Hii ni zawadi ya kipekee kwa wale wote wanaotafuta burudani yenye thamani. Zombie Apocalypse…

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.