Meridianbet Imekuletea Ofa Babkubwa na Aviator

Je unajua ndani ya hizi siku 28 ukicheza Aviator unaweza kushinda Simu janja aina ya Samsung A25 mpya kabisa?. Kama bado hujajua basi hiyo ndiyo taarfa mpya kutoka kwa mabingwa wa ubashiri. Ingia na shindania simu sasa.

Hii ni promosheni mpya kabisa ambayo imekuja ndani ya Meridianbet kwani wameona mpaka sasa Kasino ndio habari ya mjini baada ya ligi mbalimbali kumalizika. Nafasi ni yako sasa ingia kwenye promosheni hii na ujishindie simu janja sasa.

Promosheni hii ni ya siku 28 ambayo imeanza  jana ya tarehe 1 mwezi Juni na itatamatika tarehe 30 mwezi Juni mwaka huu huku nafasi ya wewe kuweza kushinda simu ikiwa juu zaidi kwani unachotakiwa kufanya ni kucheza AVIATOR tuu.

Promosheni hii ya Aviator inawahusu wateja wote ambao wamesajiliwa kwenye tovuti na kwenye program za simu za www.meridianbet.co.tz. Hivyo changamkia fursa hii kabla mwezi hujaisha.

Meridianbet wametenga siku moja ya kutoa simu mbili kwa washindi huku promosheni ikiwa ninaendelea ambapo itakuwa ni Jumatatu, hivyo ndugu mteja ukiwa unacheza kumbuka kuwa unaweza ukawa moja ya washindi ambao atajipatia Samsung A25 yake kali kabisa Jumatatu.

Ukiachana na promosheni hiyo ya aviator, pia unaweza kutengeneza pesa kwa kucheza michezo mingine ya Kasino kama vile, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao. Ingia kwenye akaunti yako na utengeneze pesa hapa.

AVIATOR ikiwa ni mojawapo ya mchezo pendwa kabisa wa kasino ambao unakufanya utengeneza pesa ndani ya muda mfupi kabisa ukiwa na Meridianbet kwani kwa dau lako dogo tuu la shilingi 2 tuu unaweza ukacheza mchezo huu.

Kumbuka kuwa kadri ambavyo unacheza mara nyingi ndivyo ambavyo unajiweka kwenye nafasi nzuri ya kuibuka kidedea kwenye promosheni hii. Unasubiri nini sasa?. Ingia Meridianbet lakini pia unaweza ukabashiri mechi za ligi za wanawake zinazoendelea kwenye tovuti ya Meridianbet. ODDS KUBWA na Machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Jisajili na ubashiri hapa.

Meridianbet inasisitiza kuwa hakuna mashari magumu kwenye kushiriki Promosheni hii, pia kila mchezo ni nafasi ya wewe kushinda. Vilevile washindi lazima watangazwe kila wiki ambapo itakuwa ni Jumatatu.