BARNABA FEAT DIAMOND PLATNUMZ – SALAMA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
MSANII wa Bongo Fleva, Barnaba Classic ameachia Video ya wimbo wake wa ‘Salama’ ameshirikisha msanii Supastaa wa Bongo Fleva na CEO wa Lebo ya WCB, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’