
YANGA YATINGA FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO
MABINGWA watetezi wa CRDB Federation Cup, Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Miloud Hamdi wamekata tiketi ya kutinga hatua ya fainali. Katika mchezo wa nusu fainali CRDB Federation Cup iliyochezwa Mei 18 2025 ubao umesoma 2-0 JKT Tanzania Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Mabao ya Prince Dube dakika ya 41 kwa makosa ya safu ya ulinzi…