
YANGA SC KUSHUSHA FULL MUZIKI FAINALI MUUNGANO CUP
YANGA SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi Mei Mosi 2025 inatarajiwa kuwa na kibarua kwenye mchezo wa fainali Muungano Cup dhidi ya JKU SC Uwanja wa Gombani, Pemba. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa saa 1:15 usiku ambapo Yanga SC imebainisha kuwa itaongeza uzito kwenye mchezo huo hasa katika eneo la wachezaji ambapo huenda wakashusha full…