
LIVA MABINGWA WAPYA EPL
Liverpool ni Mabingwa wapya wa Ligi Kuu England msimu wa 2024/25 kufuatia ushindi mnono wa 5-1 dhidi ya Tottenham Hotspur katika dimba la Anfield. Majogoo wametwaa ubingwa huo wa 20 kihistoria kwenye Ligi Kuu England zikiwa zimesalia mechi nne Ligi hiyo kufikia ukomo wakifikisha pointi 82 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote. FT: Liverpool 5-1…