VIDEO: FOUNATAIN GATE YATAMBA YANGA HAIWAFUNGU

KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Fountain Gate dhidi ya Yanga, uongozi wa Fountain Gate umeweka wazi kuwa wanaimani kubwa kupata matokeo huku wapinzani wao Yanga wakiwa hawana nafasi yakufunga hata bao kwenye mchezo huo ni kupitia Ofisa Habari wa Fountain Gate, Issa Mbuzi.