TABORA UNITED YAANGUSHA TATU MBELE YA WALIMA ALIZETI

SINGIDA Blac Stars, walima alizeti wamekomba pointi tatu mazima kwa ushindi mbele ya nyuki wa Tabora, Tabora United kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Liti, Singida. Mabao ya Singida Black Stars yamefungwa na Victorean Adebayo aliyefungua pazia la mabao dakika ya 21, Jonathan Sowah katupia mabao mawili ilikuwa dakika ya 52 na 86. Kwenye…

Read More

WANACHOKITAKA SIMBA KIMATAIFA HIKI HAPA, KAZI IPO

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa ambacho wanahitaji kwenye mchezo wao wa hatua ya nusu fainali dhidi ya Stellenbosch FC ya Afrika Kusini ni ushindi mkubwa ambao utawapa tiketi ya kufuzu hatua ya fainali moja kwa moja kwenye dakika 90 za mwanzo. Timu hiyo chini ya benchi la ufundi linaloongozwa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids,…

Read More

YANGA KAMILI KUIKABILI FOUNTAIN GATE

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara chini ya Kocha Mkuu, Miloud Hamdi wapo kamili kuwakabili wapinzani wao Fountain Gate kuelekea mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Aprili 21 2025. Tayari kikosi hicho kimesepa Bongo kwa ajili ya kuwafuata wapinzani wao Manyara na mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Ikumbukwe kwamba katika mchezo wa mzunguko…

Read More

MERIDIANBET YAWAFIKIA WAKAZI WA MBEZI JUU

Ikiwa ni Jumamosi ya wewe ndugu mteja kuondoka na kitita cha pesa pale Meridianbet, kampuni hiyo yenyewe leo hii imefika mpaka kata ya Mbezi Juu na kutoa msaada wa vifaa vya usafi. Mapema kabisa timu nzima ya Meridianbet ikiongozwa na Nancy Ingram ambaye ni Afisa Mahusiano wa kampuni hiyo, walifika katika Ofisi ya Diwani wa…

Read More

TFF YAMTIA HATIANI ALI KAMWE, YAMUACHIA HURU AHMED ALLY

Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetoa maamuzi tofauti kwa maofisa habari wa vilabu vya Yanga na Simba baada ya kupitia mashauri yaliyowasilishwa mbele yake. Katika kikao chake cha kupitia mashauri hayo, Kamati hiyo ilimkuta na hatia Ali Kamwe, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, kwa kosa la…

Read More