MZIZE APEWE ULINZI, KASI YAKE INAFURAHISHA

KASI ya mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize ambaye ni mzawa kwenye eneo la ushambuliaji inafurahisha kutokana na kuzidi kuwa bora kila anapokuwa ndani ya uwanja hivyo inabidi aongezewe ulinzi na waamuzi akiwa ndani ya uwanja asiumizwe kwa makusudi. Ikumbukwe kwamba kwenye mchezo dhidi ya Tabora United uliochezwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi alikuwa ni miongoni…

Read More

KINYAGO WA SIMBA: TUTAFANYA KWELI UWANJA WA MKAPA

BAADA ya kupoteza kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika wa hatua ya robo fainali ya kwanza, Uwanja wa Suez Canal, Misri, shabiki wa Simba maarufu kwa jina la Kinyago wa Simba wa Tabata amebainisha kuwa wanaamini mchezo wao ujao dhidi ya Al Masry, Uwanja wa Mkapa watafanya kweli na kutinga hatua ya nusu fainali….

Read More

FOUNTAIN GATE UKUTA WAO PASUA KICHWA

NDANI ya Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25 kuna timu mbili ambazo ukuta wao kwenye eneo la ulinzi ni pasua kichwa kwa benchi la ufundi kutokana na kuruhusu mabao mengi uwanjani. Safu ya ulinzi namba moja ambayo imeruhusu mabao mengi ni Fountain Gate ambayo imetunguliwa jumla ya mabao 43 huku safu ya ushambuliaji ya…

Read More