
YANGA HESABU KWA TABORA UNITED
MILOUD Hamdi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema watapambana kufanya kazi kubwa mbele ya Tabora United ili wapate pointi tatu muhimu katika mchezo ujao unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa ndani ya dakika 90. Machi 2025 Yanga ilifunga kwa kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Songea United mchezo wa CRDB Federation Cup ilikuwa ni Machi 29…