Skip to content
Saturday, February 14, 2026
  • Michael Carrick Achaguliwa Kocha Bora wa Mwezi Januari 2026
  • Dkt. Patrice Motsepe Asema AFCON 2027 Kuchezwa Juni – Julai 2027
  • Wikiendi ya Moto CAF Champions League: Vigogo Afrika Washuka Dimbani
  • Al-Ittihad Yapiga Bao Kubwa Sokoni, Lorch na Aziz Ki Watua Rasmi Libya

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Michael Carrick Achaguliwa Kocha Bora wa Mwezi Januari 2026
  • Dkt. Patrice Motsepe Asema AFCON 2027 Kuchezwa Juni – Julai 2027
  • Wikiendi ya Moto CAF Champions League: Vigogo Afrika Washuka Dimbani
  • Al-Ittihad Yapiga Bao Kubwa Sokoni, Lorch na Aziz Ki Watua Rasmi Libya

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2025
  • March
  • Page 10

March 2025

  • Sports

JUMAMOSI YA LEO USHINDI NI UHAKIKA, NAPOLI VS INTER MILAN KITAWAKA!

Saleh12 months ago12 months ago03 mins

Jumamosi ya kutimiza ndoto zao ndio hii hapa kwani odds kubwa  na machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet leo na mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3. Mbilinge mbilinge zitakuwa kule SERIE A Italia ambapo Atalanta atamleta kwake Venezia ambao ni wa 2 kutoka mwisho. Vijana wa Gasperin wanahitaji ushindi wapande…

Read More
  • International
  • Sports

LICHA YA KUTETEWA NA DROGBA, MOURINHO AFUNGIWA NA TFF KWA UBAGUZI

Saleh12 months ago02 mins

Meneja wa Fenerbahçe, José Mourinho, amefungiwa michezo minne na kupigwa faini ya jumla ya £35,194 kutokana na kauli alizozitoa za ‘kibaguzi’ baada ya mchezo wa wa debi ya Jiji la Istanbul dhidi ya Galatasaray. Mourinho alituhumiwa na Galatasaray kwa kutoa kauli za kibaguzi baada ya mchezo huo wa siku ya Jumanne. Hata hivyo Fenerbahçe ilitoa…

Read More
  • Entertainment

MSHINDI WA BSS NI MOSES LUKA, DIAMOND PLATNUMZ ATANGAZA KUWASAINI

Saleh12 months ago12 months ago01 mins

SUPASTAA wa Bongo Fleva na CEO wa Lebo ya WCB, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameweka wazi kuvutiwa na vipaji vya Mshindi wa kwanza na Wapili wa BSS ili kuwasaini katika Lebo yake hiyo. Diamond ameyasema hayo usiku wa kuamkia leo Machi 1, 2025 katika fainali ya mashindano hayo ya kusaka vipaji ya Bongo Star Seach…

Read More
  • 1
  • …
  • 8
  • 9
  • 10
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.