
BOT YATOA MAJINA YA USAILI WA MAHOJIANO MACHI 21, 24 NA 25, RATIBA IPO HAPA
BENKI KUU YA TANZANIA (BOT) Machi 14, 2025 imetoa majina katika tovuti yake waliopita katika usaili wa maandishi, huku ikiwaita katika usaili wa mahojiano na vitendo kwa baadhi ya kada. “Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili na wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi,” ilieleza…