
LICHA YA KUTETEWA NA DROGBA, MOURINHO AFUNGIWA NA TFF KWA UBAGUZI
Meneja wa Fenerbahçe, José Mourinho, amefungiwa michezo minne na kupigwa faini ya jumla ya £35,194 kutokana na kauli alizozitoa za ‘kibaguzi’ baada ya mchezo wa wa debi ya Jiji la Istanbul dhidi ya Galatasaray. Mourinho alituhumiwa na Galatasaray kwa kutoa kauli za kibaguzi baada ya mchezo huo wa siku ya Jumanne. Hata hivyo Fenerbahçe ilitoa…