YANGA YAPIGA HESABU USHINDI WA KISHINDO NAMNA HII
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa hesabu kubwa ni kufanya vizuri kwenye mechi zilizopo mbele yao ikiwa ni pamoja na mchezo wa CRDB Federation Cup ambao dhidi ya Copco. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC Complex Januari 25 2025 ikiwa ni mchezo wa mtoano na Yanga ni mabingwa watetezi wat aji hilo. Ali Kamwe,…