UEFA YAJA NA MKWANJA LEO MECHI ZINAENDELEA

Je unajua kuwa ukiwa na mabingwa wa ubashiri Tanzania Meridianbet, unaweza ukaibuka bingwa siku ya leo?. Mechi za UEFA zinaendelea leo huku kila timu ikihitaji ushindi kujiweka nafasi nzuri. Tengeneza jamvi lako la ushindi hapa. Slovan Bratislava watamleta kwao VFB Stuttgart ya kule Ujerumani na mpaka sasa wana pointi saba kwenye msimamo, huku mwenyeji yeye…

Read More

MKUTANO MKUU WA KAWAIDA WA CECAFA KUFANYIKA KESHO JUBA

Mkutano huo utakaohudhuriwa na zaidi ya wajumbe 50 utafanyikia katika hoteli ya Imperial Plaza mjini Juba. Auka John Gecheo, Mkurugenzi Mtendaji wa CECAFA alithibitisha kuwa Rais wa WAFU A, Bajo Lamin Kaba, Rais UNIFAC, Maolas Jean Guy Blaise na makamu wa Rais wa WAFU B Gasua Ibrahim Musa watakuwa miongoni mwa wageni katika mkutano huo….

Read More

DROO YA KUPANGA MAKUNDI AFCON 2025 KUFANYIKA JAN 27

Droo ya kupanga makundi ya mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2025) inatarajiwa kufanyika Januari 27, 2025, jijini Rabat, Morocco. Hafla hiyo itawakutanisha wawakilishi wa timu 24 zilizofuzu, zikiwemo zile kutoka Afrika Mashariki kama Tanzania. Mashindano hayo yanatarajiwa kufanyika Desemba 21, 2025 hadi Januari 18, 2026 ambapo waandaaji wa mashindano hayo ni Morocco.

Read More