Michuano ya kombe la Shirikisho Afrika inaendelea kutimua vumbi leo Januari 19, 2024 huku wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye mashindano ya CAF, Simba Sc wakiwa kibaruani kwenye mchezo wa raundi ya mwisho wa Kundi A dhidi ya vigogo wa Algeria, CS Constantine katika dimba la Benjamin Mkapa.
Simba Sc waliopo nafasi ya pili pointi 10 baada ya mechi 5 tayari wameshafuzu lakini mchezo huu ni muhimu kwa ajili ya kuongoza Kundi wakihitaji ushindi tu ili wakwee kileleni mwa msimamo wa Kundi A.
16:00 Simba Sc 🇹🇿 vs 🇩🇿 CS Constantine
🏟️ Benjamin Mkapa
1. 🇩🇿 CS Constantine—mechi 5— pointi 12
2. 🇹🇿 Simba Sc—mechi 5— pointi 10
3. 🇦🇴 Bravos do Marquis—mechi 5— pointi 7
4. 🇹🇳 CS Sfaxien—mechi 5— pointi 0
MECHI ZINGINE CAFCC
16:00 CS Sfaxien 🇹🇳 vs 🇦🇴 Bravos
19:00 Al Masry 🇪🇬 vs 🇲🇿 Black Bulls
19:00 Zamalek 🇪🇬 vs 🇳🇬 Enyimba
22:00 Asec Mimosas 🇨🇮 vs 🇧🇼 Orapa United
22:00 RS Berkane 🇲🇦 vs 🇿🇦 Stellenbosch
22:00 Stade Malien 🇲🇱 vs 🇦🇴 CD Lunda Sul
22:00 USM Alger 🇩🇿 vs 🇸🇳 Jaraaf
MECHI ZA LEO CAFCL
19:00 Mamelodi Sundowns 🇿🇦 vs 🇲🇦 AS FAR Rabat
19:00 Raja AC 🇲🇦 vs 🇨🇩 Maniema Union