YANGA inayonolewa na Kocha Mkuu, Sead Ramovi ina kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Al Hilal ambao ni mchezo wa hatua ya makundi.
Yanga inapeperusha bendera ya Tanzania katika anga la kimataifa ikiwa katika hatua ya robo fainali inakutana na Al Hilal ambao katika mchezo waliokutana Uwanja wa Mkapa ubao ulisoma Yanga 0-2 Al Hilal.
Hiki hapa kikosi cha Yanga:-
Djigui Diarra, Kibwana Shomari, Boka, Job, Bacca, Aucho, Mzize, Mudathir, Dube, Aziz Ki na Pacome.
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, kukipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371. Ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.