HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA AL HILAL
YANGA inayonolewa na Kocha Mkuu, Sead Ramovi ina kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Al Hilal ambao ni mchezo wa hatua ya makundi. Yanga inapeperusha bendera ya Tanzania katika anga la kimataifa ikiwa katika hatua ya robo fainali inakutana na Al Hilal ambao katika mchezo waliokutana Uwanja wa Mkapa ubao ulisoma Yanga 0-2 Al…