YANGA WATUPA DONGO KIMTINDO UNYAMANI ISHU YA KIMATAIFA
“Kuna timu ambayo ipo kwenye mashindano na ina pointi 9 inaweza isitinge hatua ya robo fainali,” moja ya kauli ya Ofisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe ikiwa ni kama dongo kimtindo kwa Simba amba oni watani zao wa jadi. Ikumbukwe kwamba Simba inapeperusha bendera ya Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kucheza mechi…