DROO YA CHAN KUFANYIKA KENYA JANUARI 15, 2025
Shirikisho la soka Afrika (CAF) limetangaza kuwa droo ya michuano ya CHAN 2024 itafanyika nchini Kenya, huku kukiwa na shaka juu ya uenyeji wa michuano hiyo nchini humo. Michuano hiyo inayozikutanisha timu za taifa kwa upande wa wachezaji wanaocheza ligi za ndani, imepangwa kufanyika kuanzia tarehe 1 hadi 28 Februari 2025 katika nchi za Kenya,…