USHINDI UNAONGEZEKA UNAPOCHEZA KENO YA EXTRA BINGO!!

Hapa tena Meridianbet kasino ya mtandaoni tunakuletea mchezo wa namba wenye bonasi kubwa na rahisi kucheza, mchezo wa keno ni moja ya michezo pendwa inayopatikana Meridianbet.

Extra Bingo ni mchezo wa kasino ya mtandaoni uliotengenezwa na gwiji wa michezo ya kasino ya mtandaoni Wazdan. Je, umechoka kusubiri mpaka kipindi fulani ili kupata droo inayofuata? Kuanzia sasa, unaweza kuchagua wakati wa kuanza kwa droo inayofuata mwenyewe.

Fahamu Kuhusu Extra Bingo

Extra Bingo ni mmoja wa michezo ya keno iliyozoeleka. Kuna namba 20 za kuchagua na inatoa namba 20 katika kila mzunguko.

Idadi ya chini ya namba unazoweza kucheza kwa kila mzunguko ni namba tatu. Lengo la mchezo ni kubashiri idadi nyingi ya namba kadri iwezekanavyo. Ikiwa utapatia namba zote ulizochagua, utapokea malipo ya juu kabisa kwa mchezo huu wa Extra Bingo kutoka kasino ya mtandaoni.

Unaweza kuchagua aina yoyote/mpangilio wowote wa namba, kuanzia namba tatu hadi namba 10.

Chini ya mipangilio ya mchezo huu wa kasino mtandaoni utaona uwanja wa menu na dau zinazowekwa kwa kila beti. Unachagua kiwango cha dau/beti kwa kubofya namba uzitakazo. Pia unaweza kubadilisha jukumu kwa kutumia vitufe vya kuongeza na kupunguza vilivyoko kwenye uwanja wa menu.

Mchezo huu unakupa chaguo la kucheza Automatic, kupitia chaguo hili unaweza kuweka hadi mizunguko 1,000.

Je, unapenda mchezo wako wa kasino ya mtandaoni uendeshwe kwa kasi kidogo? Hakuna tatizo. Unaweza kuendesha chaguo hilo kwa kubonyeza alama ya Turbo.

Kuna viwango vitatu vya kasi katika mchezo huu. La kwanza linawakilishwa na kobe, la pili ni sungura, na la tatu ni farasi.

Faida kuu ya Extra Bingo ni kwamba wewe kama mdau wa michezo ya kasino unaweza kuamua muda wa droo kuanza.

Malipo ya Ushindi

Kulingana na idadi ya namba unazozicheza, malipo yanatofautiana. Jambo zuri ni kwamba hauhitaji kuchagua namba zote ili upate malipo. Malipo ya ushindi ni kama ifuatavyo.

Ikiwa unacheza mchanganyiko wa namba tatu:

  • Kugonga mbili kunatoa dau mara mbili
  • Kugonga tatu kunatoa mara 50 ya dau

Ikiwa unacheza mchanganyiko wa namba nne:

  • Kugonga mbili kunatoa thamani ya dau
  • Kugonga tatu kunatoa mara 10 ya dau
  • Kugonga nne kunatoa mara 85 ya dau

Ikiwa unacheza mchanganyiko wa namba tano:

  • Kugonga mbili kunatoa thamani ya dau
  • Kugonga tatu kunatoa mara tatu ya dau
  • Kugonga nne kunatoa mara 20 ya dau
  • Kugonga tano kunatoa mara 200 ya dau

Ikiwa unacheza mchanganyiko wa namba sita:

  • Kugonga tatu kunatoa dau mara mbili
  • Kugonga nne kunatoa mara 12 ya dau
  • Kugonga tano kunatoa mara 60 ya dau
  • Kugonga sita kunatoa mara 550 ya dau

Mchanganyiko wa namba saba:

  • Malipo yanatofautiana na ushindi mkubwa unakusubiri pindi unapo bashiri kwa usahihi namba zote saba. Kisha utashinda mara 1,000 ya dau lako.

Kwa namba nane, malipo ni tofauti, lakini kiwango cha juu cha malipo hufanana, mara 1,000 zaidi ya dau/beti yako.

Malipo ya juu kabisa yanakusubiri ikiwa unacheza mchanganyiko na namba tisa au 10. Kulingana na idadi ya namba unazo bashiri kwa usahihi, malipo yanatofautiana.

Hata hivyo, kiwango cha juu ni sawa. Kupatia uchaguzi wa namba tisa au 10 kunakupatia mara 2,000 ya dau lako.

Michezo Ya Bonasi

Unaweza kuzidisha ushindi wako kwa msaada wa bonus ya Gamble. Unahitaji tu kuotea rangi ya kadi inayofuata itakayoonekana kwenye skrini yako.

Extra Bingo-bonus ya kamari-online casino bonus-wazdan Bonus ya kamari Unaweza kucheza kamari mara kadhaa mfululizo.

NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.