AZAM FC WAPINDUA MEZA KIBABE
AZAM FC wamepindua meza kibabe baada ya kuambulia pointi moja mbele ya Coastal Union katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Azam FC 1-1 Coastal Union kwa wababe hao kugawana pointi mojamoja ambapo katika mzunguko wa kwanza Azam FC walivuna pointi tatu. Bao la Coastal Union lilifungwa na Semfuko…