FEISAL SALUM ANA BALAA HUYO

KIUNGO wa Azam FC, Feisal Salum ana balaa huyo ndani ya uwanja kutokana na kasi yake kwenye kutimiza majukumu yake akiwa kwenye viunga vya Azam Complex msimu wa 2023/24 akiwa ni mzawa namba moja kwenye upande wa utupiaji mabao akiwa nayo 12 anafuatiwa na Aziz KI mwenye mabao 11 yupo zake ndani ya Yanga.

Read More

SIMBA WAIPIGIA HESABU COASTAL UNION

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa hesabu kubwa kwasasa ni kupata pointi tatu mbele ya Coastal Union wakiwa ugenini kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara baada ya kupoteza mchezo uliopita Uwanja wa Jamhuri, Morogoro dhidi ya Tanzania Prisons. Ipo wazi kwamba mchezo wa kwanza kwa Simba kupoteza ilikuwa dhidi ya Yanga, Novemba 5 2023 ubao…

Read More

NO PACOME NO PROBLEM, 10 SIMBA WAACHWA

UNAWEZA kusema hivyo No Pacome No Problem kwa mabingwa watetezi Yanga kusepa na pointi tatu mazima mbele ya Namungo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Majaliwa umesoma Namungo 1-3 Yanga ambapo katika dakika 45 za mwanzo hakuna timu iliyoruhusu bao kuokotwa kwenye nyavu zake. Kipindi cha pili…

Read More

GAMONDI AZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA NAMUNGO

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa wanahitaji pointi tatu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Majaliwa, Machi 8 2024. Yanga itamkosa Pacome, Djigui Diarra ambaye ni kipa namba moja kwenye mchezo wa leo  kwa kuwa hawapo kwenye mpango wa kikosi hicho kilichopo Lindi. Baaada ya…

Read More

BOSI WA REAL MADRID MATATANI KISA KODI

Meneja wa klabu ya Real Madrid Carlo Ancelotti (64) anakabiliwa na kifungo cha takribani miaka mitano jela baada ya kutuhumiwa kwa makosa ya ulaghai wa kodi nchini Hispania. Waendesha Mashtaka wa Serikali wamemtuhumu Kocha huyo mwenye asili ya Italia kwa kutumia mfumo wenye kuchanganya chini ya Makampuni ya shell ili kuficha sehemu kadhaa za mapato…

Read More

KOCHA SIMBA AMESEPA

KOCHA Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha anatarajiwa kuondoka leo Machi 7 kwa ajili ya kuelekea nchini Algeria atakuwa huko kwa muda wa siku tano. Machi 6 Benchikha alishuhudia kikosi cha Simba kikipigishwa kwata na Tanzania Prisons kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba…

Read More

EUROPA KUTIMUA VUMBI LEO, PIGA PESA HAPA

Mpenzi mteja wa meridianbet hivi unajua kuwa leo hii ndio siku yako ya kupiga mapene ukibashiri na meridianbet kwani kila kitu kipo tayari kazi inabaki kwako tuu. Machaguo zaidi ya 1000, Turbo Cash. Beti sasa. Nyasi zitawaka hapa katika mechi ya Bayer Leverkusen ambao watakuwa ugenini dhidi ya Qarabag FK ambaye kushinda mechi hii amepewa…

Read More

AZAM FC WAPINDUA MEZA KIBABE

AZAM FC wamepindua meza kibabe baada ya kuambulia pointi moja mbele ya Coastal Union katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Azam FC 1-1 Coastal Union kwa wababe hao kugawana pointi mojamoja ambapo katika mzunguko wa kwanza Azam FC walivuna pointi tatu. Bao la Coastal Union lilifungwa na Semfuko…

Read More