
MECHI 10 ZA SIMBA BONGO NA MATOKEO YAKE HIZI HAPA
MECHI 10 Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids imecheza huku ikambulia joto ya jiwe kwa kufungwa mchezo mmoja dhidi ya Yanga uliochezwa Uwanja wa Mkapa ilikuwa Kariakoo Dabi na sare ni mchezo mmoja. Hizi hapa rekodi za mechi 10 za Simba ndani ya 2024/25 kwenye NBC Premier League namna hii:- Simba 3-0 Tabora United…