>

DORTMUND YATINGA NUSU FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA

Borussia Dortmund imetinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kufuatia ushindi wa jumla wa 5-4 dhidi ya Atletico Madrid kwenye robo fainali. FT: Dortmund 🇩🇪 4-2 🇪🇸 Atletico Madrid (Agg. 5-4) ⚽ Brandt 34′ ⚽ Maatsen 39′ ⚽ Fullkrug 71′ ⚽ Sabitzer 74′ ⚽ Hummels (og) 49′ ⚽ Corea 64′ Dortmund itachuana na PSG…

Read More

Nani ni Nani Leo Usiku wa Ulaya?

Leo hii viwanja viwili vitawaka moto kwenye michuano ya Ligi za mabingwa barani Ulaya [UEFA] ikiwa ni mechi za marudiano na maamuzi nani aende Nusu Fainali na nani abaki. Tengeneza jamvi lako la maana hapa maan leo ndiyo leo asemaye kesho muongo. Barcelona ataumana dhidi ya PSG ambapo mechi ya kwanza Xavi aliondoka na ushindi…

Read More

CHELSEA WAMEKIWASHA HUKO

CHELSEA ni kicheko mwanzo mwisho baada ya kushuhudia ubao ukisoma Chelsea 6-0 Everton kwenye mchezo wa Ligi Kuu England. Mabao ya Cole Palmer aliyekuwa katika ubora wake na alitupia mabao manne ilikuwa dakika ya 13, 18, 29, 64 kwa mkwaju wa penalti. Nicolas Jackson alitupia bao moja dakika ya 44 sawa na Alfie Gilchrist dakika…

Read More

AZAM FC SIO KINYONGE UJUE

MATAJIRI wa Dar Azam FC sio kinyonge ndani ya Ligi Kuu Bara kutokana na kasi wanayokwenda nayo kwenye mechi za ushindani msimu wa 2023/24. Timu hiyo imekuwa kwenye ubora ndani ya uwanja kutokana na rekodi bora inazopata na mchezo wake uliopita ilishuhudia ubao wa Uwanja wa Majaliwa ukisoma Namungo 0-2 Azam FC mabao yote yakifungwa…

Read More

Bashiri na Meridianbet Jumatatu ya Leo

Ikiwa ni siku nyingine mpya kabisa ya Jumatatu baadhi ya mechi kibao zinaendelea leo hii abapo Meridianbet tayari wameshakuwekea ODDS KUBWA na machaguo uyatakayo hivyo ingia na uanze kubashiri sasa. LALIGA kutakuwa na mechi moja kali Osasuna atamenyana dhidi ya Valencia CF. Mwenyeji yupo nafasi ya 11 kwenye msimamo wa ligi huku mgeni akiwa nafasi…

Read More

HIVI NDIVYO YANGA WANAICHUKULIA SIMBA

UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa unawatazama wapizani wao Simba kwa utofauti kutokana na uimara walionao hivyo wanawaheshimu kuelekea mchezo wao wa Kariakoo Dabi. Yanga vinara wa Ligi Kuu Bara wanatarajia kukutana na Simba kwenye mchezo wa Karikoo Dabi unaotarajiwa kuchezwa Aprili 20 2024. Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wanatambua ukubwa wa mchezo…

Read More

SIMBA WATAJA MIPANGO YAO

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa kazi kubwa ni kupata pointi tatu kwenye mechi ambazo wanacheza ikiwa ni mchezo dhidi ya Yanga. Kariakoo Dabi inatarajiwa kuchezwa Aprili 20 2024 ambapo Yanga walimabingwa watetezi watawakaribisha Simba. Simba imetoka kupata pointi moja dhidi ya Ihefu kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Liti. Ahmed Ally, Meneja wa…

Read More

AZAM FC WAIKANDA NAMUNGO NYUMBANI

USHINDI waliopata Azam FC kwa kushuhudia ubao wa Uwanja wa Majaliwa ukisoma Namungo 0-2 Azam FC unawaongezea nguvu kubaki nafasi ya pili ndani ya msimamo wa Ligi Kuu Bara. Matajiri wa Dar, Azam FC wameikanda Namungo ikiwa nyumbani mzunguko wa pili na kulipa kisasi cha kufungwa mzunguko wa kwanza walipokuwa Uwanja wa Azam Complex. Mabao…

Read More

Kasino ya Fruit Salad 100 Ushindi 95.06%

Ni wakati mwingine tena wa kufahamu kuhusu Michezo ya Kasino ya Mtandaoni iliyopo Merdianbet. Fruit Salad 100 unakupa nafasi ya kushinda kwa kiwango cha 96.06% Bonasi za kasino na alama nyingi za ushindi.   Fruit Salad 100 ni kasino ya mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma Gaming Global. Katika mchezo huu, kuna ishara mbili maalum. Majokeri…

Read More