WAJANE WA CHAMAZI WAFIKIWA NA MERIDIANBET

Kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania , Meridianbet wamefika maeneo ya Mbagala Chamazi kwaajili ya kutoa msaada wa vyakula kwa wajane ambao wana uhitaji kwaajili ya kuendeleza maisha yao. Kama tunavyojua kuwa kuwa mjane kwa namna nyingine huleta huzuni sana kwani mwanamke akiondokewa na mume wake yeye anakuwa ndio baba na ndio mama kama ana familia,…

Read More

SIMBA DAY ITAKUWA NA BALAA KINOMANOMA

KUELEKEA Simba Day inayotarajiwa kufanyika Agosti 3 2024 uongozi wa timu hiyo umebainisha kuwa kutakuwa na balaa zito kinomanoma. Ikumbukwe kwamba Hassan Dalali aliyekuwa mwenyekiti wa Simba anaingia kwenye rekodi ya waasisi wa Simba Day ambayo ilikuwa ikifanyika ifikapo Agosti 8. Sababu kubwa ya Simba Day ni utambulisho wa benchi la ufundi, wachezaji wapya na…

Read More

BOSI YANGA AFICHUA JAMBO KUHUSU USAJILI

BOSI wa Yanga kwenye idara ya Habari na Mawasiliano, Ali Kamwe amefichua jambo kuhusu usajili wa timu hiyo kuelekea msimu wa 2024/25. Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa wanatambua namna ilivyo kwenye suala la usajili hawana presha bali watafanya kazi hiyo kwa umakini mkubwa. Tayari Yanga ina uhakika kuendelea na Kocha Mkuu…

Read More

YANGA BINGWA WA KOMBE LA SAFARI CUP

Klabu ya Young Africans Sc imeibuka bingwa wa kombe la #Safari Cup baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Safari Champions katika dimba la Benjamin Mkapa. FT: Safari Champions 1️⃣➖4️⃣ Yanga SC ⚽️ Omary Mfaume ⚽️ Shekhan ⚽️ Prosper ⚽ Hussein Safari Champions ni kikosi ambacho kilipatikana kupitia programu maalum iliyoendeshwa na…

Read More

EX-WIFE wa Q CHIEF ASIMULIA ALIVYOTOA MIL 100 KUMSAIDIA ASITUMIE ‘UNGA’ – WALIVYOACHANA…

Mwanamama ambaye huko nyuma alikuwa akifanya kazi mbalimbali za kiburudani za kuwapeleka wasanii mbalimbali wa hapa nchini kufanya show nje ya nchi @ukhtydidas na aliyekuwa mke wa msanii wa Bongo Fleva, Q Chief amefunguka mambo mbalimbali aliyoyapitia kwenye maisha yake ikiwemo ishu ya kunyan’ganywa watoto wake na wazungu na kukaa nao mbali zaidi ya miaka…

Read More