
VIDEO: KAPOMBE AFUNGUKIA SIRI MECHI 200 NA KIMATAIFA
NYOTA wa Simba Shomari Kapombe amefunguia ishu ya kucheza mechi zaidi ya 200 ndani ya kikosi hicho pamoja na kuelekea kwenye hatua za makundi Kombe la Shirikisho Afrika.
NYOTA wa Simba Shomari Kapombe amefunguia ishu ya kucheza mechi zaidi ya 200 ndani ya kikosi hicho pamoja na kuelekea kwenye hatua za makundi Kombe la Shirikisho Afrika.
LEGEND Jonas Mkude anayekipiga ndani ya kikosi cha Yanga amesema kuwa hana hofu na Kariakoo Dabi kutokana na uzoefu alionao muda wowote yupo tayari kuchezwa kwani hiyo ni kazi yake. Ikumbukwe kwamba Mkude ni timu mbili kubwa amecheza kwa sasa katika ardhi ya Tanzania, alianza na Simba kisha akaibukia Yanga baada ya kukutana na Thank…
MBWANA Samatta nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars yupo kazini akiwa ni miongoni mwa wapeperusha bendera ya Tanzania kwenye mchezo wa kuwania kufuzu AFCON 2025 dhidi ya DR Congo. Kikosi kamili Oktoba 10 2024 kipo namna hii:- Ally Salim Lusajo Mwaikenda Mohamed Hussen Ibrahim Bacca Job Adolf Mtaswigwa Kibu Dennis Mudathir Yahya…
BEKI wa kazi ndani ya kikosi cha Simba, Che Malone ameweka wazi kuwa matokeo yaliyopita kwenye Kariakoo Dabi hayawezi kubadilika hivyo wanachofanya ni maandalizi mazuri kuelekea mchezo ujao unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Ipo wazi kuwa msimu wa 2023/24 Simba kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza dhidi ya Yanga uliochezwa Uwanja wa Mkapa baada ya…
KWENYE eneo la makipa Bongo Djigui Diarra wa Yanga ameendeleza kujenga ufalme wake akiwa amecheza jumla ya mechi 8 za ushindani bila kufungwa ndani ya uwanja. Mechi hizo ambazo amcheza ni dakika 720 kwa Diarra amekomba akiwa uwanjani katika mechi za ushindani msimu wa 2024/25 akishirikiana na wachezaji wengine wa kikosi hicho kinachonolewa na Kocha…
MZAMIRU Yassin kiungo wa Simba amefichua siri nzito kuhusu ubora wake ndani ya uwanja huku Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally akibainisha wazi kuwa yeye ni jeshi la mtu mmoja.
KIKOSI cha Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi kilikuwa Pot 2 na timu za CR Belouizdad, Yanga na Pyramids. Pot 1 lilikuwa na Al Ahly, E.S.T Tunis, MSFC na TP Mazembe. POT 3 ilikuwa Al Hilal ya Sudan, Orlando Pirates ya Afrika Kusini, GDSE, ASFAR. Pot 4 ilikuwa na MC Alger, Maniema Union, Djoliba…
DROO ya Kombe la Shirikisho imepangwa nchini Misri ambapo wawakilishi kwenye anga hilo kutoka Tanzania ni Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Simba imepangwa kundi A na ilikuwa POT 1 lililokuwa na Zamalek, RS Berkane, Simba, USM Alger ambazo hizi hazitakuwa pamoja kwenye makundi na POT 2 lilikuwa na ASEC Mimosas, Stade Malien, Al…
BEKI wa kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi Ibrahim Bacca amesema kuwa mpango mkubwa ni kuona kwamba anafunga kila mechi. Nyota huyo alifungua akaunti ya mabao kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ken Gold uliochezwa Uwanja wa Sokoine akitumia pasi ya Aziz Ki ambaye kwenye mchezo huo alipiga faulo nje…
YANGA inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi baada ya kucheza mechi nne ambazo ni dakika 360 imekomba ushindi mechi zote za Ligi Kuu Bara. Ipo wazi kwamba Yanga ni mabingwa watetezi wa taji la ligi walitwaa msimu wa 2023/24 walipomaliza msimu wakiwa na pointi 80 kibindoni baada ya kucheza mechi 30. Kwa msimu wa 2024/25…
KIKOSI cha Simba chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids ni mechi tano kimeshuka uwanjani ndani ya Ligi Kuu Bara ambazo ni dakika 450. Katika mechi hizo ushindi mechi nne Simba ilipata kwa kukomba pointi tatu mazima ambazo ni 12 ndani ya uwanja na iliambulia sare mchezo mmoja. Ikumbukwe kwamba kwenye sare hiyo ya kufungana mabao…
ANAFUATA Simba kwenye Kariakoo Dabi mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Oktoba 19 2024 ambapo ushindani unatarajiwa kuwa mkali mwanzo mwisho kwa timu zote mbili ndani ya dakika 90.
FT: Uwanja wa KMC, Mwenge Mchezo wa Ligi Kuu Bara Simba 2-2 Coastal Union Zimbwe goal dakika ya 26 Ateba penalti dakika ya 38 Abdalah Hassan goal dk 47 Hernest Malongo dk 72. Msako wa pointi tatu Uwanja wa KMC Mwenge Oktoba 4 2024 ni kati ya Simba dhidi ya Coastal Union ya Tanga…
YANGA yaipa nafasi ya tatu Simba msimu wa 2024/25 kwenye ushindani katika Ngao ya Jamii ya Wanawake baada ya kuvuliwa taji na Yanga Pricess kwenye nusu fainali ya pili Uwanja wa KMC, Mwenge.
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids kina kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya Coastal Union kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC, Complex Mwenge. Rekodi zinaonyesha kuwa kwenye mechi 10 ambazo wamekutana hivi karibuni ushindi kwa Simba ni mechi 8 na walitoshana nguvu kwenye mechi mbili ambazo ni dakika…
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga Maxi Nzengeli ana balaa zito uwanjani kutokana na kuwa na uwezo wa kufunga na kutengeneza nafasi za mabao kwenye mechi za ushindani msimu wa 2024/25 akiwa namba moja kwa wakali wa kutupia ndani ya Yanga kwenye ligi. Ni mabao matatu anayo kibindoni akiwa amefunga mabao hayo ugenini bao moja na Uwanja…
BAADA ya kukomba pointi tatu kwenye mchezo ulipita dhidi ya Dodoma Jiji, Septemba 29 2024 kikosi cha Simba leo kinatarajiwa kuwa na kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya Coastal Union mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC, Mwenge. Ikumbukwe kwamba kwenye mchezo huo bao pekee la ushindi kwa Simba lilifungwa na Jean Ahoua dakika ya…